Category Archives: fun

Baada ya Hamisa Mobeto kumtibua upya Zari, Zari ajibu mapigo Asema hivi

Baada ya Hamisa Mobeto kumtibua upya Zari ikiwemo kumuita mcheza picha za hovyo, Zari ajibu mapigo. Kupitia Snapchat Zari amepost picha kadhaa akiwa na Diamond na kuweka captions tofauti kwa kusema
.
“Bora mimi cha***doa mzee niliye na mafanikio na bado ananipenda kuliko kijana wa miaka 20+ mama uliyeachwa solemba mara mbili na tuzo juu #MchepukoUsioNaAKili #MweweWaMwaka”
.
Ujumbe mwingine Zari amesema

“Kijana, kijana kila siku kijana, kijana na mzuri lakini huwezi kutafuta mwanaume wa kwako mwenyewe….namna chan**doa usivyojiamini, Kama unajiamini na uzuri na akili basi acha tuone mwanaume gani atakutaka baada ya drama hizi, baby daddy 3 loading ukiwa na miaka 20+ atakuwa mjinga pia”
.
Zari akaongeza “sio wewe cha***doa uliyelia social media ukidai Lulu kakuibia bwana’ko lakini umegeuka kufanya hicho hicho ulicholilia wakati unajua inavyouma, Mungu hawezi kubariki furaha yako juu ya maumivu ya mwanamke mwingine…ng’oo!!!”
.
“Unaweza kupost picha zote za nyuma ukiwa nae, lakini tayari nimekwisha msamehe makosa yake yaliyopita. Siwezi kubadilisha historia….nimechukulia kawaida naendelea kujenga maisha yangu ya kesho” Amesema Zari na kusisitiza
.
“Uchawi wote unaisha nguvu na sasa anarudi kwa akili zake kumrudia”

CREDIT TRIM SALEEM INSTAGRAM SWAHILI-WORLD

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
https://www.youtube.com/watch?v=ETk4UzMB1Jo

https://www.youtube.com/watch?v=tYflFb-IAUc
https://www.youtube.com/watch?v=ItYZ56EHOrw&t=112s

CONGO VIDS YAZINDULIWA RASMI LEO SASA WAWEZA TIZAMA MOVIE ZOTE UNAZOZIPENDA

Haya wale wapenzi wa filamuza kikongo na na kiafrika zaidi sasa mnaweza kutizama filamu hizo zote kwenye website ya CONGOVID Kwa kutumia television , simu hata computer yako popote pale ulipo jinsi ya kufanya ni rahisi sana ingia kwenye website hii hapa

https://www.youtube.com/watch?v=hYXoTvVpwVo
http://www.congovids.com/#/index
http://www.congovids.com/#/index

kuangalia trela ya kila filamu mpya inayotoka CONGOVIDS SUBSCRIBE KWENYE CHANELI YOUTUBE CHANNELI YA CVONGOVIDS ILI USIKOSE FILAMU ZOTE

https://www.youtube.com/watch?v=uNJMMyAZdlg
https://www.youtube.com/watch?v=VxcQxKYKP5o&t=1s

na utachagua utalipia kwa mda gani unaweza kulipia kwa mwezi mzima ila kwa kuanza wametoa ofa unapojisajili unaweza kuangalia bure kwa mwezi mzima ndipo ukaamua ulipe kwa mwezi mwingine na kuweza kutazama filamu zako zote unazozipenda hasa za wakondo walioko sehemu mbalimbali duniani , CONGOVIDS imekurahishia wai sasa jisajili na uanze kuangalia filamu zako pendwa za bure na za kulipia.


https://www.youtube.com/watch?v=r8o6-qDhAdM

https://www.youtube.com/watch?v=tpz-HRMhjMw

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

KUANGALIA MAISHA YA UGHAIBUNI TEMBELEA VLOGERS HAPA CHINI USISAHAU KUSUBSCRIBE