Mama Mkaidi Film yampa Tuzo Fred Niyo’o Huko Australia,

10446229_10202039814384472_5928508671566182621_o

Fred  Niyo’o ni Independent Film Maker  mwenye asili ya Burundi mwenye makazi yake nchini  Australia , Mama Mkaidi ni Filamu yake ya Pili alioitengeneza kwa kutumia lugha ya kiswahili , filamu hii yenye plot nzito ndio imemfanya aweze kujinyakulia Tuzo, huko nchini Australia , Angalia picha , trailer na interview aliofanya katika utoaji wa tuzo hizo uweze kujua mengi zaidi kuusu Fred.

10679962_10202493339762323_9164543562298507312_o

Fred baada ya  baada ya kupokea Tuzo za  AAMMA AWARD

10700395_10202494337587268_5405047028672685381_o

10662183_10202488073350666_208929739685893717_o

Bonyeza hapa kusikiliza interview ya Fred na idhaa ya kiswahili ya Austalia

http://www.sbs.com.au/yourlanguage/swahili/highlight/page/id/359443/t/AAMMA-awards-Fred-Niyo-o-ATM-Jeff/in/language

Hii ndio Trailerya filamu hiyo ya MAMA MKAIDI

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!