Mr nice kabla ya kupata ajari
Ni uzuni sana ilikuwa ni tarehe 12/april /2014 msanii wa muziki kutoka bongo alikutwa na ajali mbaya yagari iliyogangana na bajaji na kupelekea rafiki watatu aliokuwa nao kufariki hapo hapo na yeye Mr nice kuwa katika hali mbaya sana hospitali swahili movies inamuombea apone na apate nafuu haraka .
ilikuwa ni tarehe 12/april /2014 msani wamuziki kutoka bongo alikutwa na ajali gari na bajaji vimegongana mwenyewe ndie yupo hayi wenzie wamefariki hivi ndio alivyo umia muombeye kwa Mungu – See more at: http://greatlakesmix.com/news/2014/04/15/picha-ya-mr-nice-baada-ya-kupatwa-na-ajali/#sthash.q9LnCpYL.dpuf
Mr nice baada ya kupata ajari mbaya
Lakini miezi michache iliyopita alikuwa Nchini Denmark na kundi la Film la VAD film productiona na kufanikiwa kufanya filamu inayoitwa NIMWAMINI NANI hivyo uongozi na wasanii wote wa VAD wanatoa pole sana kwa MR NICE pamoja na kumuombea kwa Mungu apone haraka na kupata afya njema.
https://www.youtube.com/watch?v=5SxjC3FFopw#t=44
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more