Baada ya kimya cha muda kidogo muigizaji Selembe Toko anakuja kivingine sasa baada ya kuwa nchini Ufaransa kukutana na Diego Music ambaye ni producermaarufu aliyewahi kufanya kazi na kina Koffi Olomide, Werrason na Ferre Gola.
Diego ameukubali uwezo wa Selembe kikazi baada ya kuona filamu zake alizoigiza chini ya VAD na Diego kuahidi kufanya kazi pamoja, Vile vile kama ukiitaka filamu ya Nimwamini Nani toka VAD nchini Denmark basi utaipata katika duka la Diego Music France. Hizi ni picha za Selembe akiwa Ufaransa…………….
Selembe toko akiwa na Diego UfARANSA
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Swahiliworld Planet