Selembe Toko Apata Dili kufanya Filamu na Aliekuwa Producer wa KOFFI Olomide,Werason na Ferre Gola Ufaransa Mengi soma hapa .

Baada ya kimya cha muda kidogo muigizaji Selembe Toko anakuja kivingine sasa baada ya kuwa nchini Ufaransa kukutana na Diego Music ambaye ni producermaarufu aliyewahi kufanya kazi na kina Koffi Olomide, Werrason na Ferre Gola.
Diego ameukubali uwezo wa Selembe kikazi baada ya kuona filamu zake alizoigiza chini ya VAD na Diego kuahidi kufanya kazi pamoja, Vile vile kama ukiitaka filamu ya Nimwamini Nani toka VAD nchini Denmark basi utaipata katika duka la Diego Music France. Hizi ni picha za Selembe akiwa Ufaransa…………….

10589114_934362466589700_468176960_n 10562643_933518456674101_1688379198637144480_o   Selembe toko akiwa na Diego UfARANSA

10470884_933541730005107_4253736157419573235_o

10535677_933508580008422_304900923450947394_o 10386925_310557895769577_7886160896093766214_o

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Swahiliworld Planet

Tupe maoni yako hapo Chini..!!