Selembe toko msanii wa vad kwa kipindi kirefu amekuwa akionekana mwenye mwili nadhifu na mengine yakizushwa kwa kila aina ya usemi …. lakini swahili movies, imeweza kujua lilio nyuma ya pazia , baada ya star huyo mwenye makeke mengi akiwa kwenye camera , kuingia gym na kuanza kupunguza mwili wake ,
Selembe toko muonekano wake wa sasa
Hamna lolote sio kama naogopa kitambi ila lililonifanya kuingia gym nikutaka kuwa smart zaidi , maana wakati mwengine nashindwa kucheza baadhi ya sehemu au uhusika kwasababu ya mwili wangu au muonekano wangu, hivyo nimeamua kuingia gym ili mwaka mpya nije na kazi mpya na muonekano mpya kwa mashabiki wangu
Selembe toko akiwa gym akifanya mazoezi
Selembe toko akiwa gym akifanya mazoezi
selembe toko akiwa gym akifanya mazoezi
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies.