Akiongea kutokea Tanzania , muigizaji Sanura Jaffari au Senny Chada kama wengi wanavyomfahamu,mwenye makazi yake nchini Denmark , lakini amekwenda nchini Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea familia yake ,
Hii ni moja ya keki aliyopewa SANURA Ilipopambwa na makeup juu :
Alisema kuwa amefurahishwa sana na kitendo ambacho rafiki yake mkubwa na wa mda mrefu alichomfanyia katika siku yake ya kuzaliwa , kwani hakutegemea kama angepokea keki ya aina yake ,katika siku yake hiyo ya kuzaliwa tarehe 31 December
Kwa kweli namshukuru sana rafiki yangu kipenzi ambaye pia ni mtangazaji Maarufu Tanzania , Maimartha wa Jesse kwa kunipa hii keki ambayo kama mnavyoiona ina makeup juu yake , hahahaha nashukuru sana na Mungu aendeleze urafiki wetu na upendo daima alimaliza muigizaji huyo ambaye mpaka sasa anangaa kwenye filamu yake moja aliyocheza ya NIMUAMINI NANI.
Sanura akiselebuka na Familia yake baada ya kukata keki
Sanura akikata keki
Sanura akifurahia na familia yake
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!