V.a.d waingiza sokoni filamu mbili kwa mpigo

Baada ya mda mrefu kampuni inayofanya filmau za kiswahili V.A.D FILM PRODUCTION Iliyopo Denmark  kutoa matangazo na trela ya movie zao mbili , jana imeingiza rasmi sokoni movie hizo mbili ambazo moja wamefanya na mastar wao wanaongara Denmark na dunia nzima , kama , Tatu Daniel. Zawadi Justine , Frank Lubeba , Papi Gabril , Selembe Toko,Rizo Babingwa ,kay Msabaha , Jay Msabaha, na wengine wengi

1973590_282372031921497_249635524_oKAVA LA MISTREATED GIRL FILM

Nyingine waliofanya na  star kutoka Tanzania  Lucy Komba ,   TANZANIA    to DENMARK part 1& 2 na The Mistreated Girl Part  na 2 sasa zipo madukani Tanzania kote na Denmark pia zinapatikana kwenye duka la V.A.D FILM PRODUCTION LA ONLINE .

1796751_282361621922538_316883207_o

Movie hiyo ya the Mistreated Girl ni movie ya maisha ya Vituko na mshangao kuelimisha na Tamaa na movie TZ 2 Denmark ni movie mchanganiko Tanzania adi Danmark tena kuna vichekesho adi mwisho na mafunzo kwa watu na vituko vingi sana chukua na upate nakala yako..  kwa adress hapo chini

1956714_282372691921431_1473230244_oKAVA LA TANZANIA TO DENMRAK

10005941_282372511921449_1245180898_o(1)KAVA LA TANZANIA TO DENMRAK

facebook: vad production au wasiliana nasi kwenda e-mail: vad.production@hotmail.dk

au piga telephone: +4571353932 ao +4571621012

au kununua online  http://www.vadfilmproduction.dk/side.asp?Id=120318

behind the scene za Mistreated Girl

431207_580788531947097_291779491_n

1509808_267196486772385_616837005_n

1017431_10202627411540933_657164449_n

1545565_266751480150219_1902388612_n

1538821_267199370105430_1647023797_n

946622_358992384212659_261558238_n

1403140_728308770531176_42007100_o

 

601819_528439073879510_1367208767_n

ZIFUATAZO NI PICHA ZA BEHIND THE SCENE ZA TANZANIA TO DENMARK

545968_266901543468546_878119217_nLucy Komba na wsaanii wengine

1535727_266900766801957_1070714220_n1523695_266901890135178_438272053_oLucy Komba

427071_390538614305424_1692184658_nSelembe Toko

550287_266901130135254_1859844520_nJipatie Nakala zako sasa

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more