BARAKA : DIRECTOR JAY MSABAHA NA MKEWE TATU DANIEL WAPATA MTOTO WA KIKE

Director jay msabaha NA MuIGIZAJI MREMBO Tatu Daniel kutoka VAD FILM PRODUCTION ambao ni mke na mume wanafuraha kuwatangazia washabiki wao kuwa wamebarikiwa mtoto wa kike director jay amethibitisha furaha yao hio kwa kuandika captiuon hii

Nimeshukuru sana mwenyezi mungu kwaku saidia mke wangu kujifunguwa salama mtoto wakike❤❤❤ Napia nashukuru familia yangu nzima kwakukuwa kwapamoja ❤❤❤ Bila kusahau mke wangu mrembo kwakunipa mwanangu mrembo anaye fanana nayeye

Aliandika manneo hayo hukui coment za ndugu na marafiki wakiwapongeza zikimiminika hakika ni habari njema , swahilimovie nasi tunatumia muda huu kuwapongeza sana muigizaji tatu na Director Jay tujikumbushe hizi chini ni baadhi ya filamu zilizofanwa VAD
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx